TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Master Jay

The Typologically Different Question Answering Dataset

Joachim Kimario (Master Jay) ni muandaaji wa muziki nchini Tanzania Master Jay alizaliwa Tar. 8 Agosti mwaka 1973 akiwa mtoto pili katika familia ya marehemu Mzee Sylvan Kimario na mama yake Scholastica Kimario ambaye kwa sasa ni afisa wa UNDP nchini Lesotho ambapo dada yake Catherine Kimario yeye anaishi nchini Kossovo akiwa kama mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini humo. Master ambaye pia  amewahi kupata tuzo ya Kili Music Awards mara mbili, mwaka 2004 na 2007. Master Jay ana uwezo mkubwa sana wa utengenezaji wa muziki. Anamiliki studio tatu tofauti, moja ya muziki wa Kwaya, moja ya Bongo Flava na nyingine ya muziki wa Dansi.

Je,Joachim Kimario alizaliwa mwaka upi?

  • Ground Truth Answers: 197319731973

  • Prediction: